Recipe: Yummy Mbaazi za nazi.#local ingredients contest

Posted on

Mbaazi za nazi.#local ingredients contest.

Mbaazi za nazi.#local ingredients contest You can cook Mbaazi za nazi.#local ingredients contest using 11 ingredients and 13 steps. Here is how you cook that.

Ingredients of Mbaazi za nazi.#local ingredients contest

 1. You need 500 g of mbaazi(pegion peas).
 2. You need 2 of Vitunguu.
 3. Prepare 1 of Hoho.
 4. It’s 2 of Nyanya.
 5. Prepare 3 of Saumuu vipande.
 6. It’s of Chumvi.
 7. Prepare of Nazi moja.
 8. Prepare of Curry powder.
 9. Prepare of Mafuta.
 10. You need 1 of Pilipili.
 11. You need of Dania.

Mbaazi za nazi.#local ingredients contest step by step

 1. Pasua nazi yako, kuna kwa kutumia mbuzi.Kamua kutoa tui la kwanza na la pili..
 2. Weka mbaazi zako zilizochemshwa tayari..
 3. Andaa mahitaji yako.l, tayari kwa kupika..
 4. Weka kitunguu kwenye sufuria,tia mafuta ya kutosha kisha pika kwenye moto mdogo taratibu..
 5. Kitunguu kisiunguee* weka saumu yako uliotuangaa kisha koroga..
 6. Pika kwa dakika moja ukiweka maji kuzuia kuungua..
 7. Weka nyanya zako na chumvi ya kutosha,koroga,funika na pika kwa dakika 2..
 8. Koroga,Pima vijiko 2 vidogo vya Curry powder na uweke kwenye nyanya,koroga kwa sekunde kadhaa..
 9. Chukua mbaazi zako, hakikisha ni Kavuu bila yale maji ya kuchemshia,weka kwenye mchanganyiko wako na ukoroge bila kuacha.Utanzaa kuona mabaazi zinakuwa na uzito….sio moja moja tena..
 10. Chukua hoho yako na uweke (naweka hoho hapa ili ladhaa yake kwenye chakula iwepo)weka na Pilipili yako..
 11. Chukua tui la nazi lile la pili mimina,koroga na ufunike.Funua pale linakaribia kukaukia..
 12. Weka tui lile zito la kwanza,koroga,funika na uepue baada ya dakika 15..
 13. Weka dania.Tayari kwa kupakua..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *